

UTANZANIASADDIQ LINE
Historia yetu
Rafiki wa kila mtu.
Safari ya kukumbukwa.
Saddiq Line ni kampuni ya Kitanzania ya usafiri wa abiria na usafirishaji wa vifurushi. Tunaunganisha watu na maeneo kwa safari salama, za kuaminika na zenye starehe.
Kwa mabasi ya kisasa yenye vifaa bora na dhamira ya kutoa huduma nzuri, tunajali kila safari ya abiria na kila kifurushi tunachokabidhiwa.

